Juma Marco - Uzushi kuwa Amefariki | NYIMBO ZA ASILI

Thursday, 9 September 2021

Juma Marco - Uzushi kuwa Amefariki

  Malunde       Thursday, 9 September 2021


Kwa mashabiki na wapenzi wa nyimbo za asili bila shaka watakuwa wamesikia taarifa za kuugua sana na wengine hata kusikia uzushi wa kuhusu kifo cha Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Juma Marco kutoka Kahama mkoani Shinyanga... Sasa leo Msanii Juma Marco ameamua kuwaeleza mashabiki na wadau mbalimbali juu ya afya yake. Kupitia wimbo wake alioupa jina la Wazushi amezungumzia jinsi alivyohaingaika kupigania uhai wake na sasa yupo salama.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post